RAIS DKT. MAGUFULI AMETOA POLE KWA FAMILIA YA MEJA JENERALI MSTAAFU ALBERT MBOWE , SALASALA JIJINI DAR ES SALAAM. JULAI 30,2019

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam, mara baada ya kuwasili nyumbani kwa Marehemu Salasala kwa ajili ya kutoa pole kwa Familia Julai 30,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam, kabla ya kutoa pole kwa Familia na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu. Julai 30,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam ikiongozwa na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu mara baada ya kutoa pole kwa Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza na Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam ikiongozwa na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiwa na Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam wakiomba dua maalumu iliyoongozwa na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza baada ya dua maalumu na Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam iliyoongozwa na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu pole kwa Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alipowatembelea nyumbani kwao Salasala Dsm kwaajili ya kutoa pole kufuatia msiba huo. Julai 30,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiagana na Waombolezaji wengine akiwa ameambatana na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam mara baada ya kutoa pole kufuatia msiba huo nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu pole kwa Familia ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alipowatembelea nyumbani kwao Salasala Dsm kwaajili ya kutoa pole kufuatia msiba huo. Julai 30,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiagana na Mhe. Freeman Mbowe Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni kaka wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Albert Lameck Mbowe aliyefariki dunia julai 28,2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam mara baada ya kutoa pole kufuatia msiba huo nyumbani kwao Salasala Dsm. Julai 30,2019.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *