RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA 21st CENTURY FOOD AND PACKAGING LTD JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wapili kutoka kushoto, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Mohamed Dewji, Waziri wa Viwanda Innocent Bashungwa, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kiwanda cha 21st Century Food and Packaging kilichopo jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha 21st Century Food and Packaging Mohamed Dewji kuhusu ubora wa bidhaa mbalimbali za kiwanda hicho jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkurugenzi wa Kiwanda cha 21st Century Food and Packaging Mohamed Dewji mara baada ya uzinduzi wa kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mara baada ya kufungua kiwanda hicho jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wapili kutoka kushoto, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Mohamed Dewji, Waziri wa Viwanda Innocent Bashungwa, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kiwanda cha 21st Century Food and Packaging kilichopo jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wapili kutoka kushoto, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Mohamed Dewji, Waziri wa Viwanda Innocent Bashungwa, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kiwanda cha 21st Century Food and Packaging kilichopo jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *