RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZAMBIA EDGAR LUNGU TUNDUMA MKOANI SONGWE KWA AJILI YA UFUNGUZI WA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI (ONE STOP BORDER POST)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kuwasili Tunduma mkoani Songwe kwa ajili ya ufunguzi wa Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu wakati wakipita kwenye Gadi ya Heshma iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mara baada ya kuwasili katika eneo hilo la Tunduma mkoani Songwe.

Wafanyakazi wa Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania na Zambia wakiwa tayari kwa kutoa huduma katika eneo hilo la mpakani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu wakati wakisalimia wananchi mara baada ya kuwasili katika Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania. 

Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu akifurahia hotuba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya ufunguzi wa Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu wakati wakisalimia wananchi mara baada ya kuwasili katika Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya ufunguzi wa Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania.

Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu kabla ya ufunguzi wa Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya ufunguzi wa Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kuwasili katika eneo la Nakonde Zambia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kufungua Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Nakonde Zambia 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ufunguo wa Zambia kutoka kwa  Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kuwasili katika eneo la Nakonde Zambia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipanda mti pamoja na Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kufungua Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Nakonde Zambia . 

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia
wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha
Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania. Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia
wakipeana mikono baada ya kuzindua kwa pamoja wa Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania. Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakiwa
na wafadhili wa mradi wakipanda mti kama kumbukumbu baada ya kuzindua Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania. Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia
wakiondoka baada ya kuzindua Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania. Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia
wakikata utepe wakiwa na mawaziri wa nchi Zao kuashiria uzinduzi wa
Kituo cha Mpakani cha Nakonde-Tunduma  One-Stop Border Post upande wa Zambia.  Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsihi Mkuu wa Wilaya ya Nakonde
Bw. Alex Sinkala kusimama baada ya kumpigia magoti kumshukuru kwa masada wa shilingi milioni tano taslimu ili kusaidia ujenzi wa Shule ya Sekondary ya Nakonde wakati akihutubiua wananchi wa Zambia Katika mkutano wa hadhara baada ya uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Nakonde-Tunduma One-Stop Border Post upande wa Zambia. Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufulii akihutubiua wananchi wa Zambia
Katika mkutano wa hadhara baada ya uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Nakonde-Tunduma One-Stop Border Post upande wa Zambia. Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakipeana mikono baada ya kukada  utepe wakiwa na mawaziri wa nchi Zao kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde  One-Stop Border Post upande wa Tanzania,  Oktoba 5, 2019

Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia
wakikata utepe wakiwa na mawaziri wa nchi Zao kuashiria uzinduzi wa
Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde  One-Stop Border Post upande wa Tanzania  Leo Jumamosi Oktoba 5, 2019

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *