RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MSIKITI WA ISTIQAAMA BOMANI MJINI SUMBAWANGA, AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA UWANJA WA NELSON MANDELA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Sumbawanga mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa mpira wa Nelson Mandela kwa ajili ya kuwahutubia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia wa wananchi wa Sumbawanga katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Nelson Mandela mkoani Rukwa

Sehemu ya Wananchi wa Sumbawanga waliohudhuria mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Nelson Mandela mkoani Rukwa

Sehemu ya Wananchi wa Sumbawanga waliohudhuria mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Nelson Mandela mkoani Rukwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Sumbawanga mara baada ya kuwahutubia katika uwanja wa mpira wa Nelson Mandela mkoani Rukwa. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wanne kutoka kulia walioshika utepe, Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa, Waakilishi wa Umoj wa Ulaya nchini (EU) Waakilishi wa Serikali ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW) akifungua mradi wa uboreshaji wa huduma ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Sumbawanga mkoani Rukwa.

Sehemu ya Miundombinu ya uboreshaji wa huduma ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Sumbawanga mkoani Rukwa ambayo imezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo mjini Sumbawanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha ya kuchorwa yenye taaswira yake wakati akiondoka katika uwanja wa Nelson Mandela mara baada ya kuwahutubia wananchi. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dit. John Pombe Magufuli
akivua viatu kabla ya kuingia na hatimaye kuufungua msikiti wa
Istiqaama Bomani  wa Mjini Sumbawanga.  Oktoba 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dit. John Pombe Magufuli
akipata maelezo toka kwa Shehe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa  Shehe Rashidi Akilimali kabla ya kuufungua msikiti wa  Istiqaama Bomani  wa Mjini Sumbawanga. Oktoba 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na  Shehe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa  Shehe Rashidi Akilimali na
viongozi wengine akikata utepe kuufungua rasmi msikiti wa Istiqaama
Bomani  wa Mjini Sumbawanga. Oktoba 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na  Shehe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa  Shehe Rashidi Akilimali na
viongozi wengine wakiitikia dua inayoongozwa na msaidizi wa Rais Alhaj Ali Masella baada ya kuufungua rasmi msikiti wa Istiqaama Bomani  wa Mjini Sumbawanga.  Oktoba 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkabidhi mchango wa shillingi milioni tano kwa asili ya kukamilishia vifaa vya  kuswalia kama vile mazulia  Shehe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa  Shehe Rashidi Akilimali akishuhuduiwa na  viongozi wengine baada ya kuufungua rasmi msikiti wa Istiqaama Bomani  wa Mjini Sumbawanga.  Oktoba 7, 2019

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *