RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA KITABU CHA HISTORIA YA MAISHA YA RAIS MSTAAFU MHE. MKAPA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua kitabu cha Historia ya Maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa akishuhudiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na Marais wastaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Finland nchini Tanzania Mhe. Antila Sinikka katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Novemba 12, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa baada ya kuzindua kitabu cha Historia ya Maisha yake, pembeni ni  Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na Marais wastaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Novemba 12, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza kwa hotuba nzuri Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa wakati wa uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Mhe. Mkapa huku akishuhudiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na Marais wastaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Balozi wa Finland nchini Mhe. Antila Sinikka katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Novemba 12, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kuzindua kitabu cha Historia ya Maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na Marais wastaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Novemba 12, 2019

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William akihutubia wakati wa uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Maisha yake katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Novemba 12, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kabla ya kuzindua rasmi kitabu cha Historia ya Maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Novemba 12, 2019

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kuzindua kitabu cha Historia ya Maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na Marais wastaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Novemba 12, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kunyanyua glasi na kumtakia maisha marefu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake wakati wa sherehe za uzinduzi wa kitabu cha historia ya Maisha ya Mhe. Mkapa. Wengine hapo meza kuu ni Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na Marais wastaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Anna Mkapa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Novemba 12, 2019

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William na Mkewe Mama Anna Mkapa wakikata keki ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake aliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli  wakati wa uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Maisha yake katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Novemba 12, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa baada ya  uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Mhe. Mkapa. Wengine ni Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na Marais wastaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Balozi wa Finland nchini Mhe. Antila Sinikka na Mama Anna Mkapa na familia ya Mhe. Mkapa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam.  Novemba 12, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa baada ya  uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Mhe. Mkapa. Wengine ni Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na Marais wastaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Balozi wa Finland nchini Mhe. Antila Sinikka na Mama Anna Mkapa pamoja na maafisa wa Ofisi Binafsi ya Mhe. Mhe. Mkapa katika Ukumbi wa Mikutano
wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Novemba 12, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa baada ya  uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Mhe. Mkapa wakiwa na Marais wastaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi na Dkt Jakaya Mrisho Kikwete  katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.  Novemba 12, 2019 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai na Marais wastaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi na Dkt Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kuzindua kitabu cha Historua ya Maisha ya Mhe. Mkapa  katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Novemba 12, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akinunua Kitabu cha Historia ya Maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa kutoka kwa Bi. Lilian Christian wa kampuni ya Uchapaji ya Mkuki na Nyota baada kukizindua   katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.  Novemba 12, 2019

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *