WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMUAWAKILISHA RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA KONGAMANO LA SANAA LA MWALIMU (THE MWALIMU FESTIVAL) LILIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA JNICC JIJINI DAR ES SALAAM. NOVEMBA 15, 2019

Rais wa Shirikisho la Muziki Addo Novemba kwa niaba ya Marais wa Mashirikisho ya Sanaa akisoma Risara ya wasanii kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa aliyemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika Kongamano la Sanaa la Mwalimu (Mwalimu Arts Festival) lililofanyika katika kituo cha Mikutano wa Kimatifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. Novemba 15, 2019

Rais wa Shirikisho la Muziki Addo Novemba akizungumza kwa simu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mbele ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa aliyemuwakilisha Rais katika Kongamano la Sanaa la Mwalimu (Mwalimu Arts Festival) lililofanyika katika kituo cha Mikutano wa Kimatifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. Novemba 15, 2019

Rais wa Shirikisho la Muziki Addo Novemba na Yvonne Cherrie kwa niaba ya Marais wa Mashirikisho ya Sanaa wakikabidhi Risara ya wasanii kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa aliyemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika Kongamano la Sanaa la Mwalimu (Mwalimu Arts Festival) lililofanyika katika kituo cha Mikutano wa Kimatifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. Novemba 15, 2019

 

 

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa aliyemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia katika Kongamano la Sanaa la Mwalimu (Mwalimu Arts Festival) lililofanyika katika kituo cha Mikutano wa Kimatifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. Novemba 15, 2019

 

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza kwa simu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihotubia katika Kongamano la Sanaa la Mwalimu (Mwalimu Arts Festival) lililofanyika katika kituo cha Mikutano wa Kimatifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam , ambapo Mhe. Rais ameahidi kutoa Tsh Milioni mia moja (100) kwaajili ya Mfuko wa Sanaa. Novemba 15, 2019

 

Wasanii na wadau mbalimbali wa Sanaa wakishangilia baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kuongea kwa simu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihotubia katika Kongamano la Sanaa la Mwalimu (Mwalimu Arts Festival) lililofanyika katika kituo cha Mikutano wa Kimatifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam , ambapo Mhe. Rais ameahidi kutoa Tsh Milioni mia moja (100) kwaajili ya Mfuko wa Sanaa. Novemba 15, 2019

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akizungumza katika Kongamano la Sanaa la Mwalimu (Mwalimu Arts Festival) lililofanyika katika kituo cha Mikutano wa Kimatifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam , ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ameahidi kutoa Tsh Milioni mia moja (100) kwaajili ya Mfuko wa Sanaa. Novemba 15, 2019.

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza katika Kongamano la Sanaa la Mwalimu (Mwalimu Arts Festival) lililofanyika katika kituo cha Mikutano wa Kimatifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam , ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameahidi kutoa Tsh Milioni mia moja (100) kwaajili ya Mfuko wa Sanaa. Novemba 15, 2019

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza katika Kongamano la Sanaa la Mwalimu (Mwalimu Arts Festival) lililofanyika katika kituo cha Mikutano wa Kimatifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam , ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameahidi kutoa Tsh Milioni mia moja (100) kwaajili ya Mfuko wa Sanaa. Novemba 15, 2019.

 

Msanii Mrisho Mpoto akitumbuiza katika Kongamano la Sanaa la Mwalimu (Mwalimu Arts Festival) lililofanyika katika kituo cha Mikutano wa Kimatifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam , ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameahidi kutoa Tsh Milioni mia moja (100) kwaajili ya Mfuko wa Sanaa. Novemba 15, 2019

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *