RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA MTAMA NA RUANGWA MKOANI LINDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Lindi vijijini katika jimbo la Mtama (hawaonekani pichani) mkoani Lindi wakati akielekea katika Jimbo la Ruangwa.

Wananchi wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi wakishangilia kwa furaha wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika Jimbo la Mtama mkoani Lindi. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akiwasili Ruangwa mkoani Lindi tarehe 15/10/2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Nanganga- Ruangwa sehemu ya Kitandi-Ruangwa km 5 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha Lami.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ruangwa mara baada ya ufunguzi wa barabara ya Nanganga- Ruangwa sehemu ya Kitandi-Ruangwa km 5 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha Lami. Kulia ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wakiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi wa Ghala la Mazao Ruangwa mkoani Lindi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi wa Ghala la Mazao Ruangwa mkoani Lindi. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Shule ya Msingi Likangala kwa ajili ya kuhutubia wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi leo tarehe 15/10/2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Ruangwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Shule ya Msingi Likangala kwa ajili ya kuhutubia wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi leo tarehe 15/10/2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Ruangwa mara baada ya kuwasili Wilayani humo wakati akitokea Lindi mjini.

Wananchi wa Ruangwa wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili Wilayani humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Ruangwa mara baada ya kuwasili Wilayani humo wakati akitokea Lindi mjini. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Ruangwa mara baada ya kuwasili Wilayani humo wakati akitokea Lindi mjini. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *