RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA MAPOKEZI YA NDEGE MPYA YA DE HAVILLAND DASH8 – 400 JIJINI MWANZA

Ndege mpya aina ya DE Havilland DASH8-400 ikipokelewa kwa saluti ya maji na Kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ilipotua Uwanja wa Ndege wa Mwanza ikitokea Canada na kupokelewa na maelfu ya wananchi wakiomngiozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli . Desemba 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Balozi wa Canada nchini Mhe. Pamela O’Donell na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kuipokea rasmi ndege mpya ya DE Havilland DASH8 400 katika uwanja wa Ndege wa Mwanza.  Desemba 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Balozi wa Canada nchini Mhe. Pamela O’Donell na na mkewe Mama Janeth Magufuli akiwapongeza kwa furaha marubani wazalendo walioendesha ndege ya mpya DE Havilland DASH8-400 kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza. Desemba 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapongeza kwa furaha marubani wazalendo walioendesha ndege mpya ya DE Havilland DASH8-400 kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza.  Desemba 14, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa ATCL wakati wa mapokezi ya  ndege mpya ya DE Havilland DASH8-400 kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza.  Desemba 14, 2019

Ndege mpya kabisa aina ya DE Havilland DASH8-400 baada ya
kuwasili kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa
Mwanza.  Desemba 14, 2019

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *