RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA MRADI WA VISIMA VIREFU PAMOJA NA UJENZI WA MADARASA KATIKA SHULE YA MSINGI CHATO A-B MKOANI GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Chato katika sherehe za Ufunguzi wa Madarasa yaliyojengwa kwa mchango wake Mhe. Rais Dkt. Magufuli pamoja na mradi wa Visima virefu vya Maji vilivyojengwa na Emirates Red Crescent-UAE kwa usimamizi na Utekelezaji wa Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania zilizofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Chato A-B Chato mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali akifungua moja ya mradi wa Kisima kirefu kilichojengwa katika Shule ya Msingi Chato A-B kwa ufadhili wa Emirates Red Crescent-UAE kwa usimamizi na Utekelezaji wa Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Chato A-B Chato mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na walimu wa Shule ya Msingi Chato A-B mara baada ya kufungua Madarasa pamoja na Ofisi zilizojengwa kwa Mchango wake mwenyewe katika shule hiyo ambayo alisoma elimu yake ya Msingi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Madarasa pamoja na Ofisi za Shule ya Msingi Chato A-B ambazo zimejengwa kwa mchango wake mwenyewe Rais Dkt. Magufuli

Sehemu ya Madarasa ya Shule ya Msingi Chato A-B kama yanavyoonekana mara baada ya ujenzi wake kukamilika. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *