RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA MSIKITI MKUU WA CHATO WA MASJID AL – HUDA MJINI CHATO

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Rais wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh
Shariff Abdulqadir akiangalia mchoro wa utakaavyoonekana Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda alkipowasili kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa msikiti huo utaokuwa na uwezo wa kukaa waumini 3000 kwa ndani na 6000 kwa nje, ukiwa unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Rais wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh
Shariff Abdulqadir akiangalia mchoro wa utakaavyoonekana Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda alkipowasili kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa msikiti huo utaokuwa na uwezo wa kukaa waumini 3000 kwa ndani na 6000 kwa nje, ukiwa unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri Mhe Job Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Rais wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh Shariff Abdulqadir pamoja na viongozi wengine wa dini wa Mkoa wa Geita akifunua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda mjini Chato leo. Msikiti huo utakaokuwa na uwezo wa kuchukua waumini 3000 kwa ndani na 6000 kwa nje kwa wakati mmoja, unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri Mhe Job Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Rais wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh Shariff Abdulqadir pamoja na viongozi wengine wa dini wa Mkoa wa Geita akifunua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda mjini Chato leo. Msikiti huo utakaokuwa na uwezo wa kuchukua waumini 3000 kwa ndani na 6000 kwa nje kwa wakati mmoja, unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkurugenzi wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh
Nurdin Kishk na viongozi wengine wa dini ya Kiislamu kwenye hafla ya
uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato
wa Al Huda mjini Chato leo. Msikiti huo utakaokuwa na uwezo wa
kuchukua waumini 3000 kwa ndani na 6000 kwa nje kwa wakati mmoja, unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Spika wa Bunge la Jamhuri Mhe Job Ndugai  akisalimia
wananchi akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh Shariff Abdulqadir pamoja na viongozi wengine wa dini na serikali wa Mkoa wa Geita kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda mjini Chato leo. Msikiti huo utakaokuwa na uwezo wa kuchukua waumini 3000 kwa ndani na 6000 kwa nje kwa wakati mmoja, unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda mjini Chato . Msikiti huo utakaokuwa na uwezo wa kuchukua waumini 3000 kwa ndani na 6000 kwa nje kwa wakati mmoja, unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri Mhe Job Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Rais wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh Shariff Abdulqadir pamoja na viongozi wengine wa dini wa Mkoa wa Geita wakipata picha ya kumbukumbu baada ya hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda mjini Chato . Msikiti huo utakaokuwa na uwezo wa kuchukua waumini 3000 kwa ndani na 6000 kwa nje kwa wakati mmoja, unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *