RAIS MHE.DKT. MAGUFULI AZINDUA HOTEL VERDE – AZAM LUXURY RESORT AND SPA ILIYOPO MTONI ZANZIBAR. JANUARI 11, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa alipowasili kabla ya kuzindua Hotel Verde – Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa na Makamu wa Rais wa Jamhuri Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Mapinduzi kuashiria uzinduzi wa Hotel Verde – Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa mara baada ya kuzindua Hotel Verde ya Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe na Makamu wa Rais wa Jamhuri Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Mapinduzi kuashiria uzinduzi wa Hotel Verde – Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Mapinduzi wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Vyakula wa Bakhresa Salim Aziz Salim huku wakitazama maeneo mbalimbali ya Hotel Verde – Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar wakati wa sherehe za uzinduzi wa hoteli hiyo Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijaribu vifaa vya mazoezi alipoambatana na Viongozi wengine wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Mapinduzi kutazama maeneo mbalimbali ya Hotel Verde – Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar wakati wa sherehe za uzinduzi wa hoteli hiyo Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Vyakula wa Bakhresa Salim Aziz Salim huku alipokuwa akigagua moja ya chumba cha Hotel Verde – Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar wakati wa sherehe za uzinduzi wa hoteli hiyo Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Vyakula wa Bakhresa Salim Aziz Salim akigagua moja maeneo mbalimbali ya Hotel Verde – Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar wakati wa sherehe za uzinduzi wa hoteli hiyo Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza ngoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa Hotel Verde – Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Hotel Verde – Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Wanakikundi cha hamasa wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuendesha harambee ndogo ya kuwachangia ambapo zaidi ya milioni hamsini zilichangwa kwaajili ya vijana na wasanii wa Taarabu Zanzibar wakati wa hafla ya uzinduzi wa Hotel Verde – Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *