RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ASHEREHEKEA MWAKA MPYA 2015 KIJIJINI KWAO MSOGA

ZZGEYGUGUTGY

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa jamii ya wamasai wanaoishi mkoa wa Pwani. Kiongozi Mkuu wa jamii hiyo, Laiboni Tikwa Moreto (wa pili kushoto), Majaliwa Lihalei na Zuberi Tangono katika hafla ya  kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze unnamed

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiomba  dua  pamoja na Mashekhe  wa Bagamoyo na wananchi  wakati wa hafla ya kumuombea dua katika mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani

unnamed-1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa neno la shukurani kwa  Mashekhe wa Bagamoyo na wananchi  kwa kumuandalia  hafla ya kumuombea dua katika mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani

unnamed-2

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge  wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete wakijumuika na wananchi katika kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *