RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA IKULU, DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Kiongozi akimuapisha akimuapisha Bi. Shamira S. Sarwat kuwa Msajili wa Mahakama Kuu katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Zena A. Saidi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Riziki S. Shemdoe kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Christopher Kadio kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Hassan Abbas kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Mary G. Makondo kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Stephen Mashauri kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Ruvuma katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Emmanuel Turuba kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Mwanza katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Judica H. Omari kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Tanga katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Leonard R. Masanja kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Wilbert M. Chuma kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Nathaniel M. Nhonge kuwa Kamishna wa Ardhi katika Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Kelvin Mhina kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Dkt. Gerald Ndika kuwa Kamishna wa Tume ya Mahakama ya Utumishi wa Mahakama katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Wakili Julius K. Bundala kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama  katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha  Wakili Genoveva M. Kato kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpandisha cheo Brigedia jenerali Suleiman M. Mzee kuwa Kamishna jenerali wa Magereza katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha  Brigedia jenerali Suleiman M. Mzee kuwa Kamishna jenerali wa Magereza katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpandisha cheo  DCP John Masunga kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha DCP John Masunga kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, akiwa na Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali baada ya kuwaapisha katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 3, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, akiwa na Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali mpya wa Jeshia la Magereza Suleiman M. Mzee na Maafisa waandamizi wa jeshi hilo baada ya kumuapisha katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Februari 03, 2020Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, akiwa na Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali mpya wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji   John Masunga na Maafisa waandamizi wa jeshi hilo baada ya kumuapisha katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar
es salaam Februari 3, 2020

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *