RAIS KIKWETE AMJULIA HALI BRIGEDIA JENERALI HASHIM MBITA ALIYELAZWA HOSPITALI YA LUGALO – JANUARY 06, 2015

cdsccecefeecfdcffdc

 

unnamed-1

 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyelazwa akipata matibabu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaaam January 6, 2015.Brigedia Jenerali Hashim Mbita ni mwanasiasa mkongwe ambaye aliwahi kuwa  mmoja wa viongozi waandamizi katika harakati za ukombozi Barani Afrika

ANGALI VIDEO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *