RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KM 51.2 KATIKA MJI WA SERIKALI PAMOJA NA KUFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA TARURA JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati Bendi ya JKT Makutopora ilipokuwa ikitumbuiza kabla ya kufungua jengo la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo baada ya kvuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo itakayotumika katika katika ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Waziri wa Ardhi William Lukuvi katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Wizara wa Ardhi mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyakazi mbalimbali wa Serikali kabla ya kufungua Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyakazi mbalimbali wa Serikali kabla ya kufungua Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua jingo la la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha moja ya pikipiki ambazo alizikabidhi kwa Maafisa Tarafa wa nchi nzima katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa Tarafa wa Wilaya Mbalimbali ambao walikabidhiwa Pikipiki ili ziweze kuwasaidia katika kazi zao za kila siku

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Wafanyakazi mbalimbali wa Serikali mara baada ya kufungua jingo la Ofisi za TARURA mkoani Dodoma.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *