Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kikundi cha ngoma kabla ya kulifungua Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyakazi wa Jeshi la Zimamoto kabla ya kufungua Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Maofisa wa Jeshi la Zimamoto wakipiga makofi wakati wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya ufunguzi wa Jengo hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo kuhusu ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutoka kwa Inspekta Joseph Mwasabeja katika Makao Makuu ya Zimamoto Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitazama kibao cha Ufunguzi mara baada ya kufungua Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lililopo Makole jijini Dodoma.