Msajili wa Mahakama ya Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam January 8, 2015
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi vifaa vya kazi muda mfupi baada ya kumuapisha Msajili wa Mahakama ya Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati Ikulu jijini Dar es Salaam January 8, 2015