MWENYEKITI WA CCM RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKABIDHI FOMU YA KUTAFUATA WADHAMINI OFISI CCM MKOA DODOMA MARA BAADA YA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS MAPEMA LEO .

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi Fomu ya kutafuta  wa dhamini wa chama baada kuchukua fomu  ya kuomba  kuteuliwa kugombea Urais kwa Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadae mwaka huu Dodoma leo tarehe 17 JUNI 2020.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono na  katibu wa chama cha mapinduzi mkoa wa Dodoma Bi. Jamila Yusufu. baada ya kumkabidhi Fomu ya kutafuta  wa dhamini ndani ya  chama, ilikutimiza vigezo vya    kuomba  kuteuliwa kugombea Urais kwa Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadae mwaka huu Dodoma leo tarehe 17 JUNI 2020.

  Katibu wa chama cha mapinduzi mkoa wa Dodoma Bi. Jamila Yusufu akimpongeza  Mhe. Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli  baada ya kumkabidhi Fomu ya kutafuta  wa dhamini ndani ya  chama, ilikutimiza vigezo vya    kuomba  kuteuliwa kugombea Urais kwa Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadae mwaka huu Dodoma leo tarehe 17 JUNI 2020

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *