RAIS KIKWETE AKABIDHI VITABU 201 KWA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI (NATIONAL DEFENCE COLLEGE – NDC) JANUARI 09, 2015

2

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi baadhi ya vitabu   na  Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange Rais Kikwete amekabidhi  vitabu hivyo 201 kwa ajili ya Maktaba ya Chuo cha Ulinzi (National Defence College – NDC)  iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa January 9, 2015. Rais kikwete, ambaye ameshachangia jumla ya vitabu 2752 katika  maktaba ya chuo hicho na chuo cha Monduli katika vipindi tofati,  amesema elimu imo vitabuni, na ili kuelemika yapaswa mtu asome vitabu, na kwamba taasisi ya elimu inakamilika ikiwa na vitabu.

3

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na maafisa waandamizi wa JWTZ wakiangalia vitabu wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vitabu 201 kwa ajili ya Maktaba ya Chuo cha Ulinzi (National Defence College – NDC) iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa January 9, 2015.

1

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza   Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange  alipokuwa akimjshukuru kwa kutoa vitabu 2752 kwa Chuo cha Ulinzi na makataba zingine za  JWTZ wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vitabu 201 kwa ajili ya Maktaba ya Chuo cha Ulinzi (National Defence College – NDC)  iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa January 9, 2015.

4

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na   Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na maafisa waandamizi wa JWTZ baada ya  hafla fupi ya kukabidhi vitabu 201 kwa ajili ya Maktaba ya Chuo cha Ulinzi (National Defence College – NDC)  iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa January 9, 2015.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *