.Mhe.

 Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na viongozi wengine wakiweka zege kama kumbukumbu katika ujenzi wa Ofisi mpya za Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma kwa ajili ya hafla ya chakula cha mchana aliowaandalia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM leo tarehe 12 Julai 2020.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *