Viongozi mbalimbali walioapishwa leo kushika nyadhifa mbalimbali wakila kiapo cha uadilifu baada ya kuapishwa na Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ikulu ya Chamwino Dodoma leo tarehe 16 julai 2020.
Dkt. Seleman Serera mkuu wa Wilaya mteule wa Wilaya ya Kongwa akila kiapo mbele ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo 16 Julai 2020.
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa mteule wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge baada ya kumuapisha ikulu ya Chamwino leo 16 Julai 2020.
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa wilaya ya Kiteto mkoani Manyara Kanali Patrick Norbert Songea baada ya kumuapisha ikulu ya Chamwino leo 16 Julai 2020.
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa wilaya ya Hanang mkoani Manyara mhe. Gharib Lingo baada ya kumuapisha ikulu ya Chamwino leo 16 Julai 2020.
Mhe. Makamo wa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na waziri wa nchi ofisi ya Rais Tamisemi mhe, Suleiman Jafo na Katibu mkuu kiongozi Balozi John .W. H.Kijazi wakizungumza wakati wa hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali Ikulu ya Chamwino leo.
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali aliowateua na kuwaapisha kushika nyadhifa mbalimbali Ikulu ya Chamwino leo 16 Julai 2020.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Alrbert Chalamira akizungumza na viongozi mbalimbali wakati wa hafla yaRais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kuwaapisha viongozi aliowateua kushika nyadhifa mbalimbali Ikulu ya Chamwino leo 16 Julai 2020.
Dkt. Seleman Serera mkuu wa Wilaya ya Kongwa akitia Saini hati ya kiapo cha uadilifu baada ya kuapishwa kuwa mkuu wa wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Bi. Johari Khamis Athuman Katibu Tawala wa wilaya ya Rombo, baada ya kumuapisha Ikulu ya Chamwino leo 16 Julai 2020.
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi mtendaji wa Kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC) Dkt. Maduhu Isaac Kazi baada ya kumuapisha ikulu ya Chamwino leo 16 Julai 2020.
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Makamo wa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na waziri wa nchi ofisi ya Rais Tamisemi mhe, Suleiman Jafo na Katibu mkuu kiongozi Balozi John .W. H.Kijazi viongozi mbalimbali aliowateua na sambamba na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya hafla ya uapisho Ikulu ya Chamwino leo 16 Julai 2020.