MHE RAIS AWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU YA CHAMWINO DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha  Mkuu wa mkoa wa Njombe  Mhandisi Marwa Mwita Bubirya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Ikulu ya Chamwino Dodoma leo Julai 20 ,2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha  Dkt. Aloyce Nzuki kuwa Katibu Mkuu wa wizara ya Maliasili na Utalii  Ikulu ya Chamwino Dodoma leo Julai 20 ,2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Anthony Sanga   kuwa Katibu Mkuu wa wizara ya Maji,  Ikulu ya Chamwino Dodoma leo Julai 20 ,2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha  Dkt.  Seif Shekilage kuwa  Katibu Tawala wa mkoa wa Songwe Ikulu ya Chamwino Dodoma leo Julai 20 ,2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha  Dkt. Allan Kijazi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii  Ikulu ya Chamwino Dodoma leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha  Mhandisi Nadhifa Kemikimba kuwa Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Maji , leo Ikulu ya Chamwino Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha  Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Mambo ya nje  na Ushirikiano wa Kimataifa Ikulu ya Chamwino Dodoma leo Julai 20 ,2020

Viongozi wateule wakila Kiapo cha maadili mbele ya  Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu ya Chamwino Dodoma leo Julai 20 ,2020

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *