Mhe Rais Dkt.J.P.Magufuli azindua majengo ya TAKUKURU na la Tume ya uchaguzi, Jijini Dodoma

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi kufurahia Jambo wakati  akizindua Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi akiwa  na Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na
viongozi wengine eneo la Ndejengwa mkoani Dodoma leo Jumatano Julai
22, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akizindua Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi akiwa  na Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na
viongozi wengine eneo la Ndejengwa mkoani Dodoma leo Jumatano Julai
22, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuliakikagua Jengo la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya Chamwino eneo la Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020

Rais  wa JamhuriMuungano wa Tanzania Dkt. John PombeM Magufuli akizindua Jengo la Taasisi ya kupambana na kuzuia Rushwa TAKUKURU, akiwa  na Makamu  wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine eneo la Chikuyu B Jijini Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *