Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na maaskofu , wachungaji, walimu wadini na wamisionari wa kanisa la Tanzania Assemblies of God TAG wakati wa mkutano wa baraza kuu la taifa la Kanisa hilo ulio fanyika kwenye ukumbi wa CBC miyuji Dodoma .
Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono na Askofu mkuu wa kanisa la TAG Barnabas Mtokambali wakati alipohudhuria mkutano wa baraza kuu la taifa la Kanisa hilo ulio fanyika kwenye ukumbi wa CBC miyuji Dodoma .
Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiimba wimbo wa kumsifu Mungu na Askofu mkuu wa kanisa la TAG Barnabas Mtokambali wakati alipohudhuria mkutano wa baraza kuu la taifa la Kanisa hilo ulio fanyika kwenye ukumbi wa CBC miyuji Dodoma .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru kwa unyenyekevu baada ya kutunukiwa tuzo ya heshima na Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) alipohudhuria Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo jijini Dodoma leo .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea tuzo ya heshima kutoka kwa Askofu mkuu wa kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Dkt Barnabas Mtokambali alipohudhuria Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa hilo jijini Dodoma leo Ijumaa Agosti 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) jijini Dodoma
Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Picha ya pamoja na Askofu mkuu wa kanisa la TAG Barnabas Mtokambali na viongozi wa sekretarieti na kamati mbalimbali za baraza kuu la TAG wakati alipohudhuria mkutano wa baraza kuu la taifa la Kanisa hilo ulio fanyika kwenye ukumbi wa CBC miyuji Dodoma
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga viongozi wadini na washiriki wa mkutano wa baraza kuu la TAG Taifa, wakati wa Kilele cha Mkutano Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) jijini Dodoma