Padre Paul Mapalala Paroko wa Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata akiongoza misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A ya Kanisa Katoliki , Misa hiyo ilihudhuriwa na Rais Mhe.Dkt. John P.Magufuli . Chamwino Dodoma.
Rais Mhe.Dkt. John P.Magufuli akiagana na Padre Paul Mapalala Paroko wa parokia ya Bikira Maria wa Imaculata mara baada ya kumaliza ibada ya misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A katika Kanisa katoliki la Bikira Maria Imaculata , Chamwino Dodoma