Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiingia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kinachoendelea Chamwino Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo tarehe 19 Agosti, 2020
Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kinachoendelea kwa siku ya pili Chamwino Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein wakitoka nje ya ukumbi baada ya kumaliza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana kwa siku mbili jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka mara baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM leo Chamwino jijini Dodoma
Makamu mwenyekiti Tanzania Bara mzee Philp Mangula , Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally , Makamo wa pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Idd ,Makamo wa Rais Mhe. Samia Sululu na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein wakiwa wame simama nje ya ukumbi kuagana na mara baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM leo Chamwino jijini Dodoma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein akiondoka mara baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM leo Chamwino jijini Dodoma