MHE.RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM jijini Dodoma leo tarehe 31 Agosti 2020

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM wakati wakiimba Wimbo wa Chama kabla ya kuongoza Kikao hicho cha Kamati Kuu jijini Dodoma leo tarehe 31 Agosti 2020

. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM jijini Dodoma leo tarehe 31 Agosti 2020

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya kutoka kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM jijini Dodoma leo tarehe 31 Agosti 2020

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *