RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE AMKARIBISHA RAIS WA UJERUMANI MHESHIMIWA JOACHIM GAUCK IKULU JIJINI DAR ES SALAAM FEBRUARI 03, 2015

1

wa Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha mgeni wake Ikulu Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck ambaye ameongozana na mke wake Bibi schadt leo Tarehe.03.02.2015

3Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck wakipata mapokezi kwa kuimbwa kwa nyimbo za taifa za mataifa hayo mawili

4Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na kikosi cha jeshi la wananchi wa Tanzania kwa ajili yake leo katika viwanja vya Ikulu

2

Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimtambusha  Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa waliojitokeza kumpekea leo tarehe.03.02.2015 katika viwanja vya Ikulu

5Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na ujembe kutoka ujerumani uliondamana na Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck wakati Rais huyo alipowasili Ikulu

10

 

1

 

2

 

9

 

8

 

6

Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck akipokelewa na wanafanyakazi wa Ikulu,wananchi mbalimbali  pamoja na wanafunzi wa shule mbalimbali za mkoawa wa Dar es salaam waliojitokeza viwanja vya Ikulu leo tarehe.03.02.2015 kumpokea

11Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha  Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck Ikulu na kufanyanaye mazungumzo

12

Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck pamoja na ujumbe wake

 

PRESIDENT JAKAYA KIKWETE INSISTS TANZANIA RESPECT PRESS FREEDOM

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *