RAIS KIKWETE AFUTARISHA WANANCHI WA MBEYA

8

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishurkuru wananchi wa Mbeya kwa kujitokeza kwa wingi katika futari aliyoiandaa katika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.

1

 

4

 

 

ttt

Mbunge wa Mbeya Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” akipata futari na wananchi wenzie wa Mbeya katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.

9

 

3

 

 

2

 Wananchi wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini MbeyaJumapili Julai 13, 2014.

9 (2)

 Shehe Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Sheikh Mohamed Ali Mwansasu akitoa mawaiadha baada ya futari   iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.

fwr

Rais Jakaya Kikwete akiungana na wananchi wa Mbeya katika swala ya Magharibi katika  futari aliyoandaa  katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.

dd

Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika futari aliyoandaa  katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *