RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM IKULU DAR ES SALAAM FEBRUARI, 28. 2015

2

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwaongoza wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kusimama kwa dakika chache kumkumbuka mjumbe wa baraza la wawakilishi wa jimbo la Magomeni Zanzibar ambaye pia alikuwa mjumbe wa kamati hiyo wakati wa kuanza kikao cha kamati hiyo kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 28,2015

1

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya taifa kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 28, 2015, wapili kulia ni Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein na wawatu kulia ni makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal.Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *