RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA WAHASIBU WAKUU NCHI ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA MACHI 9,2015

unnamed-1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa Mwaka wa Wahasibu Wakuu wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAAG) uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre JNICC jijini Dar es Salaam Machi 9, 2015

unnamed1

 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Wahasibu Wakuu wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAAG) uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre JNICC jijini Dar es Salaam Machi 9, 2015 Walioketi meza kuu kutoka kulia ni Waziri wa Fedha Mh.Saada Mkuya, Katibu Mkuu wizara ya Fedha Servacius Likwelile, manaibu katibu wakuu hazina Dkt.Hamisi Mwinyimvua na Bi.Dorothy Mwanyika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *