RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AFUNGUA KITUO CHA TAIFA CHA KUHIFADHI KUMBUKUMBU NA NYARAKA KILICHOPO DODOMA MACHI 18,2015

aaaa

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Kituo cha Taifa cha kuhifadhi Kumbukumbu na nyaraka huko kisasa mjini Dodoma Machi 18,2015 Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, watatu kushoto ni Mwenyekiti wa BungeMh. Zungu na kulia ni Waziri wa  nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora Mh.George Mkuchika.

2

 

3vgvhvh

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi na kukata utepe kufungua rasmi Kituo cha Taifa Cha kuhifadhi Kumbukumbu na nyaraka kilichopo Kisasa mjini Dodoma machi 18,2015

4

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa ofisi hiyo jinsi Kumbukumbu zinavyoifadhiwa katika  Kituo cha Taifa Cha kuhifadhi Kumbukumbu na nyaraka kilichopo Kisasa mjini Dodoma Machi 18,2015

5

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia moja ya kumbukumbu zilizohifadhiwa katika   Kituo cha Taifa Cha kuhifadhi Kumbukumbu na nyaraka kilichopo Kisasa mjini Dodoma Machi 18,2015

6

 

3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia  kumbukumbu zilizohifadhiwa katika   Kituo cha Taifa Cha kuhifadhi Kumbukumbu na nyaraka kilichopo Kisasa mjini Dodoma Machi 18,2015

b

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia jalada la mwaka 1940 ambapo alisoma utendaji kazi wa Babu yake Chifu  wa Kabila la Wakwere Mrisho Kikwete wakati huo. Jalada hilo ni moja ya majalada ya zamani yaliyohifadhiwa kutumia teknolojia ya kisasa katika Kituo Cha Taifa Cha kuhifadhi Kumbukumbu na nyaraka kilichopo Kisasa mjini Dodoma.Katika hotuba yake wakati wa ufunguzi wa kituo hicho Rais Kikwete ametoa agizo la kuanzishwa Maktaba za Viongozi wa kitaifa hususan Marais wastaafu ili kuhifadhi vyema historia ya nchi.

2

 

1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi waliohudhulia ufunguzi huo na kasha na wafanyakazi wa kituo cha Taifa Cha kuhifadhi  Kumbukumbu na nyaraka kilichopo Kisasa mjini Dodoma baada ya kukifungua rasmi Machi 18,2015

3

 

 Jengo ambalo limefunguliwa rasmi na Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambalo ni Kituo cha Taifa Cha kuhifadhi Kumbukumbu na nyaraka kilichopo Kisasa mjini Dodoma 

4

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akiondoka katika Jengo la kituo cha Taifa Cha kuhifadhi  Kumbukumbu na nyaraka kilichopo Kisasa mjini Dodoma baada ya kukifungua rasmi Machi 18,2015

 

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *