RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIHUTUBIA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI MACHI 19,2015

2

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mh.Daniel Kidega akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika jengo la bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo Rais  alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki. Machi 19,2015

3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa kuingia katika jengo la Bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki. Machi 19,2015

4

 

5

 

6

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake katika Bunge la Afrika Mashariki huko Bujumbura Burundi Machi 19,2015

1nvmvmv

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wabunge wa Afrika Mashariki muda mfupi baada ya kuwahutubia mjini Bujumbura Burundi  Machi 19,2015

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *