RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA WA KENYA MJINI WINDHOEK BURUNDI MACHI 22,2015

unnamed

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya jijini Windhoek Namibia ambapo walihudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa Namibia.

unnamed-2

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akikutana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Hoteli ya Safari Court jijini Windhoek Namibia Machi 22,2015  

2gshshsu

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi (kulia) na Benjamin William Mkapa (kushoto) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako jijini Windhoek Namibia machi 22,2015   Viongozi hao walihudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 25 ya Uhuru wa Namibia ambapo pia Rais wa awamu ya tatu  wa Namibia Dkt.Hage Geingob aliapishwa katika uwanja wa Independence jijini Windhoek.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *