ZIARA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE MKOA WA RUVUMA WILAYA YA NYASA

 

ANGALIA VIDEO YA ZIARA YA RAIS WILAYA YA NYASA MKOA WA RUVUMA

daraja uzi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa sherehe  za uzinduzi rasmi wa Daraja la Ruhekei zilizofanyika katika kijiji cha Mkaole wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma julai 18,2014.

darajab

Muonekano wa daraja la Ruhekei lililozinduiwa rasmi leo na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika kijiji cha Mkaole wilyani Nyasa mkoani Ruvuma Julai 18,2014

D92A3728

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akifunua kitambaa katika jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Nyasa julai 18,2014.

kitufe

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akibonyeza kitufe kuashilia ujenzi wa kituo cha kupozea umeme mbamba bay wilaya ya  Nyasa julai 18,2014.

kitambaa

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akifunua kitambaa  kuashilia ujenzi wa kituo cha kupozea umeme mbamba bay wilaya ya  Nyasa julai 18,2014.

komba

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akiteta jambo na Mbunge wa Mbinga Magharibi capt.John Komba wakati Rais alipowasili viwanja vya mbamba bay wilaya ya  Nyasa julai 18,2014 kwa ajili ya kuhutubia wananchi.

D92A4056

 Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akiwa amembeba mototo wakati alipokuwa katika ziara ya kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo wilaya ya Nyasa kulia ni Mama Salma Julai 18,2014salamu

 

mrs membe

Waziri wa mambo ya nchi za Nje na ushirikiano wa kimataifa Bernard Kamilius Membe,waziri wa ujenzi John Pombe Magufuli pamoja na mke wa waziri wa mambo ya Nje na Ushrikiano wa Kimataifa Bernard Membe walikuwepo 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *