RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AKAGUA WAATHIRIKA WA MAFURIKO BUGURUNI JIJINI DAR ES SALAAM MACHI 24,2015

1

 

2

 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua kazi ya kuondoa maji ya mafuriko kutoka katika nyumba za watu katika eneo la Buruguruni Kwamnyamani wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam Machi 24, 2015 wakati Rais na Mkewe Mama Salma Kikwete na viongozi mbalimbali walipotembelea eneo hili kujionea athari za mafuriko na kuwafariji wananchi.

3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mmoja wa wakazi wa Buguruni kwamnyamani Bi.Halima Hamza ambaye nyumba yake imeathiriwa vibaya na maji ya mafuriko wakati Rais na Mkewe Mama Salma Kikwete na viongozi mbalimbali walipotembelea eneo hili kujionea athari za mafuriko na kuwafariji wananchi.

5

 

6

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mack Sadik akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mfereji ulioziba kutokana na uchafu na kusababisha mafuriko katika makazi ya watu eneo la Buguruni kwamnyamani jijini Dar es Salaam

4

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsalimia mtoto Irene ambaye nyumba yao imeathiriwa na mafuriko huko Buguruni kwamnyamani

10

 

9

Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipita katika mitaa mbalimbali ya Buguruni leo wakati wa zoezi la kuwafariji waathirika wa mafuriko huko Buguruni kwamnyamani

7

 

8

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wakazi wa Buguruni Kwamnyamani waloathiriwa na mafuriko kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.Rais Kikwete ameahidi kuwasaidia wananchi hao

TAZAMA VIDEO YA ZIARA YA RAIS DKT. JAKAYA MRISHO  KIKWETE BUGURUNI KWAMNYAMANI MACHI 24, 2015

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *