WACHEZAJI WA BARCELONA WAMTEMBELEA RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE IKULU DAR ES SALAAM APRIL 11, 2015

2

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Mchezaji nyota wa Timu ya Barcelona Johann Cruyft akimkabidhi jezi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam April 11, 2015

1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wachezaji maveterani wa timu ya Barcelona wakati walimpomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam  April 11, 2015

3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji maveterani wa timu ya Barcelona walipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam April 11, 2015

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *