Mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita ukiwasili katika makaburi ya Kisutu Dar es salaam kwa mazishi April 29, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika kuomba dua wakati wa mazishi
Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi ya Marehemu Brigedia Jenerali (Mstaafu) Hashim Mbita wakati wa mazishi yake katika makaburi ya Kisutu April 29, 2015