RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ATEMBELEA TEGETA NA MKWAJUNI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM MEI 15,2015

1ff.g.g

 

2

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete maeneo yaliyoathiriwa vibaya na mafuriko huko Tegeta wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Mei 14,2015

3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda pamoja na Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuf Mwenda akiwaagiza kutafuta mbinu za kuyaondoa kwa haraka maji yaliyozingira makazi ya watu eneo la Tegeta.

 

4

 

 

 

 

 

,

 

 

 

 

 

 

 6

 

 

 

 

 

 

 

 

,

 

 

 

7

 

 

 

,

 

 

 

 

,

 

 

8 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maagizo kwa uongozi wa wilaya ya Kinondoni kuyaondoa kwa haraka maji yaliyozunguka makazi ya watu eneo la Tegeta wilayani Kinondoni kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.

9

 

10

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia makazi holela yaliyojengwa katika bonde la mkwajuni eneo la mto Msimbazi na kisha kuongea na wakazi wa eneo hilo akiwashauri kuhama kwakuwa eneo hilo si salama kwa maisha na mali zao

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *