RAIS WA MSUMBIJI FILIPE JACINTO NYUSSI AWASILI NCHINI KWA ZIARA RASMI YA SIKU TATU MEI 17, 2015

1

 

2

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Kikwete akimpokea Rais Filipe Jacinto Nyusi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Mei 17, 2015. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.

3

Rais Filipe Jacinto Nyusi akipokea shada la maua baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini  Dar es salaam Mei 17,2015. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama Rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.  4

 Rais Filipe Jacinto Nyusi akikagua gwaride la heshima baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.

5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Filipe Jacinto Nyusi wakiangalia ngoma  baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.  6 

Rais Filipe Jacinto Nyusi akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Ikulu jijini Dar es salaam katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.

7

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake  Rais Filipe Jacinto Nyusi wakishangiliwa na mamia ya wakazi wa Dar es salaam waliojitokeza kwa wingi kumlaki Rais huyoanayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.  10 

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe na Waziri wa Masuala ya Ndani wa Msumbiji wakitiliana saini mkataba wa makubaliano mbele ye marais  Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake  Rais Filipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji

11

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake  Rais Filipe Jacinto Nyusi na ujumbe wake katika mazungumzo rasmi Ikulu jijini Dar es salaam leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *