RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AMPONGEZA MZEE MWINYI KWA KUTIMIZA MIAKA 90 MEI 30,2015

4fghhh

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais Mstaafu awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi kwa kutimiza miaka 90 wakati wa sherehe ya kuzaliwa kwake iliyofanyika katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam Mei 30,2015 Kushoto ni Mkewe Mama Siti Mwinyi.

unnamed-4

 

unnamed-1

Rais Mstaafu awamu ya Pili Alhaji Hassan Mwinyi akitoa salamu zake kwa wageni waalikwa wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa ambapo jana alitimiza umri wa miaka 90.Sherehe hiyo ilifanyika katika hoteli ya Sea Cliff na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali.

unnamed-5

Rais Mstaafu awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na familia yake watoto na wajukuu zake wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa ambapo alitimiza umri wa miaka 90 jana katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *