RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA WATU WENYE ALBINO DUNIANI JUNI 13, 2015 MJINI ARUSHA

1frrg

 

1

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na baadhi ya watoto wenye albinism mara baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Sheikh amri Abeid mjini Arusha Juni 13, 2015 ambapo aliongoza maadhimisho ya siku ya watu wenye Albino Duniani.

233333ssssss

 

busu

 

3333wwwww

 

picha ya pamoja

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia watoto wenye albino kwa kuwabusu kisha kupiga picha ya pamoja na mama Salma Kikwete  katika uwanja wa michezo wa Sheikh amri Abeid mjini Arusha Juni 13, 2015 ambapo aliongoza maadhimisho ya siku ya watu wenye Albino Duniani.

1111fggjjj

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akiteta jambo na mtu mwenye ulemavu wa albino ambaye jina lake halikupatikana katika uwanja wa michezo wa Sheikh amri Abeid mjini Arusha Juni 13, 2015 ambapo aliongoza maadhimisho ya siku ya watu wenye Albino Duniani.kulia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Albino Tanzania Bwana Ernest Kimaya

2

 

1

Dkt. Possy akikabidhi lisala ya watu wenye albino baada ya kusomwa kwa mgeni rasmi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  katika uwanja wa michezo wa Sheikh amri Abeid mjini Arusha Juni 13, 2015 ambapo aliongoza maadhimisho ya siku ya watu wenye Albino Duniani.

3hotuba

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akitoa hotuba yake katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya watu wenye albino Duniani Juni 13, 2015

4 (1)

 

4 (2)

 

 

7

 

6

 

5

 Wananchi wakisikiliza hotuba ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete aliyoitoa katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya watu wenye albino Duniani Juni 13, 2015

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *