Rais Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa mazishi ya marehemu sheikh mkuu wa Tanzania Mufti Issa Shaban Bin Simba katika Makaburi ya Waislam ya Nguzo Nane mjini Shinyanga juni 16,2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Sheikh mkuu wa Tanzania Mufti Issa Shaban Bin Simba aliyezikwa katika Makaburi ya Waislam ya Nguzo Nane mjini Shinyanga juni 16,2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki dua