RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI KWA WATUMISHI WA UMMA NA WANANCHI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JUNI 23,2015

a21

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishani za Jamhuri ya Muungano daraja la kwanza, Utumishi wa muda mrefu na maadili mema daraja la kwanza na Utumishi wa muda mrefu na maadili mema daraja la pili na Ushupavu Jumanne Juni 23, 2015 katika ukumbi mpya wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam. 

a24

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishani za Jamhuri ya Muungano daraja la kwanza 

a25

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishaniya Utumishi wa muda mrefu na maadili mema daraja la kwanza   

a27

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na mtunukiwa wa Nishani ya Ushupavu Koplo Liberatus Tibaitirwa Ndyetabula wa Magereza (kushoto)  

a28

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya hafla hiyo.  

a30Mtoto wa mtunukiwa nishani Florens Martin Turuka alipata bahati ya kutumia Ipad yake kupiga picha viongozi na watunukiwa nishani.  

IMGL0026

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Abbas Kandoro baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza, ambayo hutolewa kwa wananchi waaminifu ambao kwa kujitolea kwao moja kwa moja wamelipatia Taifa sifa katika nyanja za kisiasa, kiuchumi, kiulinzi na kijamii

IMGL0038

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Parseko Vincent Kone baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza

IMGL0042

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Balozi Liberata Mulamula  nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza

IMGL0044

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Balozi Liberata Mulamula baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza

IMGL0049[1]

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Tuvako Nathaniel Manongi  baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza

IMGL0060

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Kipenka Musemembo Musa baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili, ambayo hutolewa kwa watumishi wa Umma kuanzia Ngazi za Wakurugenzi kwenda juu na ambao wametumikia nchi si chini ya miaka 20 mfululizo wakiwa Maafisa waandamizi na walioonyesha Maadili Mema.

 IMGL0064

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Florens Martin Turuka baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili

IMGL0069

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri ya Daraja la Pili Mhe. Mbaraka Mohammed Abdulwakil 

IMGL0076

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri ya  Muungano Daraja la Pili Mhe. Sophia Elias Kaduma

IMGL0081

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri  ya Muungano Daraja la Pili Mhe. HAB Mkwizu

IMGL0089

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza baada ya kimvisha nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Balozi Rajab Hassan Gamaha

IMGL0093

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri  ya Muungano Daraja la Pili Mhe. Peniel Lyimo

IMGL0100

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Profesa Idris Suleiman Kikula

IMGL0104

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Mhe. Eliakim Paul Martin Mrem

IMGL0114

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 Rais Kikwete akimvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bw. Emmanuel Roki Eugen Funto ambayo hutolewa kwa watumishi wa Umma kuanzia Ngazi za Wakurugenzi kwenda juu na ambao wametumikia nchi si chini ya miaka 20 mfululizo wakiwa Maafisa waandamizi na walioonyesha Maadili Mema. 
 

IMGL0121

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Kikwete akimvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Agatha Claud Swai

IMGL0127

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Kikwete akimvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Scolastica Kitte Mwibale

IMGL0133

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Kikwete akimpongeza baada ya kumvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Mariam Subeti Sauri

  IMGL0138

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bw. Wilberforce Kahwa Kikwasi

IMGL0145

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Kikwete akimpongeza  kwa nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Maria Immaculate Buchard

IMGL0152

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Kikwete akimpongeza baada ya kumvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bw. Merina Leslie Ngoleka
 

IMGL0172

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la  pili Bi. Rosalia Marmo Massay 

 IMGL0173

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Rosalia Marmo Massay

 IMGL0181

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Kikwete akimvisha  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Dkt. Moses Losolo Swai

IMGL0188

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bw. Gerald Michael Kulindwa

 IMGL0195

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Dida Kalist Issuja

 IMGL0198

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Dida Kalist Issuja

IMGL0214

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na Mema Daraja la Pili Bi. Asumpta Yepi Mbawala

IMGL0225

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Rais Kikwete akimpongeza kwa  Nishani ya Ushupavu Koplo Liberatus Tibaitirwa Ndyetabula wa Magereza

IMGL0160

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Rosalia Marmo Massay

 

IMGL0206

Rais Kikwete akimpongeza kwa  nishani ya Utumishi Mrefu na 
Maadili Mema Daraja la Pili Bw. Katembo Saidi Msikilwa

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *