Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilila alipowasili kuaga mwili wa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, Jumamosi kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika Jumamosi kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
Mama Salma Kikwete akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika Jumamosi kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
Rais Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali
Rais Kikwete akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda
Rais Kikwete na viongozi wengine wakisimama kwa heshima wakati mwili ukiwasili
Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, marehemu Donald Kelvin Max
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiifariji familia ya marehemu
Rais Jakaya Kikwete, akiifariji familia ya marehemu Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili
Rais Jakaya Kikwete, akiifariji familia ya marehemu Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili