RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWAPA FUTARI WATOTO YATIMA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JUNI 29, 2015

1

Baadhi ya watoto yatima kutoka katika vituo mbalimbali vya malezi Mkoa wa Dar es Salaam wakipata futari katika viwanja vya ikulu Dar es salaam Juni 29,2015 2

 

3

 

4

 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia na baadhi watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya malezi aliowaalika kupata futari katika viwanja vya ikulu Dar es salaam Juni 29,2015

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *