Baadhi ya watoto yatima kutoka katika vituo mbalimbali vya malezi Mkoa wa Dar es Salaam wakipata futari katika viwanja vya ikulu Dar es salaam Juni 29,2015
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia na baadhi watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya malezi aliowaalika kupata futari katika viwanja vya ikulu Dar es salaam Juni 29,2015