RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE NA WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA HAILEMARIAM DESALEGN WAZINDUA KIWANDA CHA KUDHIBITI MALARIA PWANI

2asd

 

 

2

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi na kukata utepe kuzindua rasmi kiwanda cha kuzalisha viuadudu vya kuua viluwiluwi vya Mbu wanaoeneza Malaria kilichopo eneo la viwanda TAMCO kibaha,Mkoani Pwani 2,July 2015.Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

3

 

4

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Waziri Mkuu wa Ethiopia wakiangalia uzalishaji wa viuadudu vya  mbu wanaoeneza Malaria kilichopo eneo la viwanda TAMCO kibaha,Mkoani Pwani leo muda mfupi baada ya uzinduzi rasmi July 2, 2015

1

Picha ya pamoja na wajenzi wa kiwanda hicho

3

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *