RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA CHIFU KINGALU WA 14 WA WALUGURU, NA KUSIMIKWA KWA CHIFU KINGALU 15 KIJIJINI KINOLE, MOROGORO JULAI 02,2015

1

 

2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na pia kumpongeza Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15  baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 2, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.  

3

Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15  akiongea machache baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 2, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.   

4

Mama Salma Kikwete akimpa pole na pia kumpongeza Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru  wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15  baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 2, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.  

5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa  pole na pia kumpongeza Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15  (kushoto) baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 2, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.

6

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na  Kiongozi mpya wa kabila la Warugulu wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15  baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 2, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *