RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO MIAKA 50 YA USHIRIKIANO BENKI YA DUNIA NA TANZANIA, AFUNGUA MAONESHO YA 39 YA SABASABA JULAI 03,2015

unnamed-1

 

unnamed

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Benki ya Dunia kanda ya Afrika Bwana Makhtar Diop wakizindua kitabu cha picha kinachoonyesha ushirikiano wa miaka 50 kati ya Tanzania na Benki ya Dunia uliowezesha ukuaji wa uchumi na kuboresha maisha ya Watanzania walio wengi.Kulia ni Naibu Waziri wa FedhaMh. Adam Malima.

1sdsgsf

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia trekta aina ya Ursus muda mfupi baada ya kufungua maonyesho ya 39 ya Biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam Julai 3,2015 Kushoto no Mkurugenzi wa biashara wa kampuni inayotengeneza matrekta hayo Bwana Wojciech Zachorowski

unnamed-3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia moja ya shati la batiki lililoshonwa na mjasiria mali mwanamke Violet Mmanyi wakati Rais alipotembelea mabanda machache baada ya kufungua rasmi maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa Dar es Salaam maarufu kama sabasaba

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *